×

Kuagwa Kwa Akwilina Majonzi, Vilio Vyatawala – Pichaz na Video

Mkuu wa Chuo cha NIT, Prof. Zakaria Mganilwa akiaga mwili wa marehemu.

 

Mwili wa marehemu Akwilina Akwilini umeagwa leo Feb 22, 2018 katika viwanja vya Chuo cha NIT kabla ya kusafirishwa kwenda Rombo kuzikwa.

 

 

Zoezi la kuaga mwili wa Akwilina limeongozwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Mkuu wa Chuo cha NIT, Prof. Zacharia Mganilwa, ndugu wa marehemu, wanafunzi wenzake, marafiki na Wananchi kutoka sehemu mbalimbali za nchi walifika kumuaga binti huyo.

 

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni akiaga.

 

Global Publishers na Global TV Online inatoa pole kwa ndugu, marafiki, wanafunzi wa NIT na wote walioguswa na msiba wa Akwilina.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekonolojia, Prof. Joyce Ndalichako akiaga.

 

Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema peponi roho yua marehemu. AMEN!

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar, pau Makonda akiaga.

 

Dada wa marehemu akiaga.

 

Msemaji wa Chadema, Makene akiaga.

 

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zanzibar, Salum Mwalimu akiaga.

 

 

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema  Bara, John Mnyika akiaga.

 

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa akiaga.

PICHA NA RICHARD BUKOS

 

Tazama video. ya kuaga.