×

Wanafunzi Kidato Cha Nne Kuanza Mitihani Kesho, UWT Wazungumza – Video


Kuelekea Mitihani ya Kidato cha Nne Kesho ambayo inatarajiwa kuanzia kufanyika kesho tarehe 4/11/2019 Katibu Mkuu Chama Cha Walimu Nchini Mwalimu Deus Seif Ametoa wito kwa walimu nchini kuendelea kuonesha uaminifu katika usimamizi wa mitihani ili kutotia Doa Chama icho na Walimu wote nchini kwa ujumla

Jumla Ya watahiniwa 485,866 wanatarajiwa kuanza mitiani hiyo katika shule za serikali na binafsi ambayo wanaume waliosajiwaliwa ni 206,420 sawa na aslimia 47.67 na wanawake 226,632 sawa na asilimia 52.33 na wenye mahitaji maalum 842.