×

Anthony Joshua Alivyomtwanga Andy Ruiz

Bondia Anthony Joshua kutoka nchini England amempiga kwa pointi bondia Andy Ruiz Jr. kutoka Mexico.

Wawili hao wamepambana usiku huu katika pambano la marudiano la Uzani wa Juu lililofanyika nchini Saudi Arabia.

Anthony Joshua alipigwa na Andy Ruiz Jr. kwa TKO katika pambano lao la mwezi Juni 2019.

 

Leave a Comment