Fainali za kumsaka Mshindi wa Shindano la Kusaka Vipaji, Bongo Star Search (BSS) zimefanyika usiku wa kuamkia leo Desemba 25, katika ukumbi wa Next Door Arena ambapo mshiriki Meshak ametisha na kuibuka mshindi.