
Baada ya kuzagaa kwa tetesi kuwa Dk. Louis Shika amefilisika na kutelekezwa na kwamba ana hali mbaya kwa sasa kimaisha, Global TV Online imezungumza na aliyewahi kuwa meneja wake, Catherine Kahabi, pamoja na mambo mengine, kulikoni Dk Shika kuwa hoi kiasi cha kukosa mahali pa kulala ilihali alikuwa na MABILIONI? Meneja amezungumza.