×

Video: Itakutoa Machozi! Azaliwa Bila Sehemu Ya Haja Kubwa – “Nimekatwa Mguu”


Duniani kila mtu ana sehemu ya maisha yake ambayo kwahakika kila akiitazama kwa namna moja au nyingine haishwi kutoka machozi. Inaweza kuwa mwilini au nje ya mwili wako.

Binti Husna mwenye miaka 16 anapitia mateso makubwa baada ya kuzaliwa bila sehemu ya haja kubwa hali iliyofanya atobolewe ubavuni.

Mateso hayajamuishia kwa kukosa sehemu hiyo muhimu kwani licha ya kutobolewa ubavuni Husna hana mguu mmoja baada ya kukatwa Hospitali na anaishi kwa kutumia figo moja pekee.

Leave a Comment