Bad News: Askari Watatu Wafariki kwa Kugongwa na Basi
Global Publishers February 3, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
POLISI watatu mkoani Njombe wanasadikiwa kuwa wamefariki dunia baada ya ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Shalomu na gari la polisi katika Kituo cha Polisi Njombe leo, Jumatatu, Februari 3, 2020.