Global Publishers February 22, 2020 4,670 views 0 Comments
SHARE THIS:
MDAU maarufu wa mitandao, Carry Mastory, amepiga stori na Global TV na kuichambua ngoma mpya ya mwanamuziki, Diamond Platnumz aliyoimba na mzazi mwenzie Tanasha Donna, inayoitwa Gere.