×

TBL Kutoa Tamko Rasmi Kuhusu Kizibo Cha Dhahabu Leo

Machi 2, 2020: Dar es Salaam: Kampuniya Bia Tanzania (TBL) leo itafanya mkutanonaWaandishiwa Habari jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuzungumzana Watanzania kuhusianana Kizibo cha Dhahabu chenye uzitowa kilo 16.1 ambayo thamani yake kwa bei ya kimataifa

Ni sawa na Bilioni 2 za kitanzania ambacho TBL ilishindamapema wiki iliyopita. HiiinafuatiatetesizilizosambaahapojanakuwaTuzohiyohaijulikaniilipo.

Mapema wiki iliyopita, wakazi wajiji la Dar-es-salaam walipata fursa ya kuiona Tuzo hiyo katika maeneo ya Mbagala Rangi Tatu, Kituo cha Mabasi cha Morocco, Karumena Buguruni.

Leave a Comment