RAIS John Magufuli leo Machi 3, 2020 amekutana na wanasiasa wakongwe Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam.