×

Magufuli Azindua Karakana Kuu ya JWTZ (Picha +Video)

Rais  John  Magufuli akikata utepe akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama kuashiria uzinduzi wa karakana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri jeshi Mkuu,  Dkt. John  Magufuli amezindua karakana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika kambi ya  Lugalo, Jijini Dar es Salaam leo Ijumaa, Machi 13, 2020.

 

 

…Akipongezana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess baada ya kuzindua karakarana hiyo.
…Akiwa na Balozi  Hess akikagua sehemu za ufundi wa magari.
…Akiwa na  Dkt. Hussein Mwinyi,  Jenerali Venance Mabeyo na Balozi Hess alipotoka kukagua karakana.
…Akimpongeza Balozi  Hess kwa hotuba yake wakati wa sherehe ya uzinduzi.
…Akiagana kwa kugonganisha miguu na Balozi  Hess baada ya sherehe za uzinduzi.
…Akiagana na maafisa wa JWTZ.

Picha na IKULU

Leave a Comment