Mke wa askari Polisi anayetuhumiwa kumpiga mfanyakazi wake wa ndani hadi kumsababishia kifo, amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Arumeru ili kujibu tuhuma zinazomkabili.