Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia akizungumza na wageni waalikwa kwenye kufunga maadhimisho ya wiki ya Ubunifu nchini (Innovation Week 2020) ambayo yalifanyika kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dar Es Salaam. Katika maadhimisho hayo yenye kauli mbiu “Buni kwa Tija” kampuni ya Vodacom iliahidi kuendelea kudhamini na kusaidia wabunifu nchini.
Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH, Dkt. Amos Nungu akizungumza na wageni waalikwa kwenye kufunga maadhimisho ya wiki ya Ubunifu nchini (Innovation Week 2020) ambayo yalifanyika kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mkazi wa HDIF, Joseph Manirakiza akizungumza na wageni waalikwa wakati wa kufunga maadhimisho ya wiki ya Ubunifu nchini (Innovation Week 2020) ambayo yalifanyika kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dar Es Salaam.
Matukio katika Picha:




