×

Watano Wafariki kwa Ajari Katika Daraja Lililovunjika Moro – Video

Watu watano wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya magari mawili waliokuwa wakisafiria kugongana na kisha kutumbukia katika Daraja la Mto Kiyegea linaloendelea kutengenezwa barabara kuu ya Morogoro – Dodoma wilayani Kilosa Mkoani Morogoro.

Leave a Comment