×

Joel Lwaga Aachia Video Mpya “Waweza”

 

Katika kazi yake ya kumtumikia Mungu na kulitangaza neno lake la wokovu kupitia nyimbo za Injili, Joel Lwaga hajawahi kuachia wimbo wa kawaida, mara zote amekuwa akiachia mawe… Na Pasaka hii ameachia jiwe jipya lililojaa manukato ya sifa na upako wa Mungu.

 

WAWEZA ni miongoni mwa nyimbo zake sita zinazopatikana kwenye EP yake ya THAMANI. Wimbo huo umetengenezwa na producee Harry Gb, Mixing na Mastering vimefanywa na Humphrey
wakati Ditrector H akisimamia video nzima.

 

Joe anakwambia “Katika nyakati ngumu kama hizi Umebaki wewe tu Mungu🙌 hatuna mwingine wa kutufuta machozi na kutuganga mioyo zaidi yako Baba🙏 kama ulivyofanya huko nyuma hata sasa bado waweza! ……. Video tayari ipo Youtube…. Bonyeza link kwenye #Bio yake 👉🏿👉🏿 @joellwaga uweze kutazama wimbo mzima wa #WAWEZA💪💥 You will surely be blessed!

 

Leave a Comment