×

JPM Atoa Salamu Baada ya Kusali Ibada KKKT Chato (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Jumapili ya Tano baada ya Pasaka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020.

Rais Magufuli leo Mei 17, 2020 ameungana na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Ushirika wa Chato Mkoani Geita kusali Ibada ya Jumapili iliyoongozwa na Mchungaji Thomas Pascal Kangeizi.

Rais Magufuli akizungumza na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020 mara baada ya Ibada.
Rais Magufuli akiwa katika Ibada ya Jumapili ya Tano baada ya Pasaka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020.

Leave a Comment