Kwa mujibu wa Pato la Jumla la Kitaifa (GDP)
MIONGONI mwa nchi 20 zenye uchumi mkubwa zaidi tangu mwaka 1980, nchi 17 bado zinaendelea kuwepo katika kundi hilo, hii ikimaanisha kwamba ni nchi tatu tu ambazo zimeingia katika orodha hiyo hivi sasa.
Nchi hizi ndizo ‘wachezaji’ wakuu wa masuala ya kiuchumi duniani ambapo jumla ya mapato ya kitaifa (GDP) kwa nchi 10 tu miongoni mwa hizo, yanafanyika asilimia 66 ya uchumi wote duniani, wakati nchi hizo zote 20 zinafanyika asilimia 79 ya nguvu zote za kiuchumi duniani.
Nchi 173 zilizobaki, kwa pamoja zinafanyika robo ya nguvu zote za kiuchumi duniani.
Miamba hiyo ya uchumi duniani ni ifuatayo:
1. Marekani
Jumla ya Pato la Taifa (GDP) Dola trilioni 21.44
2. China
GDP Dola trilioni 27.31
3. Japan
GDP Dola trilioni 5.75
4. Ujerumani
GDP: Dola trilioni 4.44
5. India
GDP Dola trilioni 10.51
6. Uingereza
GDP Dola trilioni 3.04
7. Ufaransa
GDP Dola tr. 2.96
8. Italia
GDP tr. 2.40
9. Brazil
GDP tr. 3.37
10. Canada
GDP tr. 1.84
11. Russia
Russia tr. 4.21
12. Korea Kusini
GDP tr. 2.14
13. Spain
GDP tr. 1.86
14. Australia
GDP tr. 1.32
15. Mexico
GDP tr. 2.57
16. Indonesia
17. Uholanzi
GDP tr. 969.23
18. Saudi Arabia
GDP tr. 1.86
19. Uturuki
GDP tr. 2.29
20. Switzerland
GDP bil. 548.48
