
SIMBA ipo mbele kwa mabao 5-1 mbele ya Alliance FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaochezwa Uwanja wa Taifa.
Meddie Kagere ametupia mabao mawili ambapo alifunga la Kwanza kwa penalti dakika 24 kwa penalti na dakika ya 44 huku Luis Miqussone akifunga dakika 63, Deo Kanda dakika ya 66 na Said Ndemla dakika ya 83.
Martin Kigi alifunga bao kwa upande wa Alliance dakika 38.
