
ALIYEKUWA Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Kigamboni ambaye anawaia kutetea kiti chake, Dkt. Faustine Ndugulile ameongoza katika matokeo ya kura za maoni zilizopigwa leo Julai 20, 2020 huku akimzidi mpinzani wake ambaye pia alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.
Matokeo ya kura za maoni katika Jimbo la Kigamboni, Dar es Salaam kwa watia nia wa Chama cha Mapinduzi (CCM):
Dkt. Faustine Ndugulile: 190
Paul Makonda: 122
Ansar Kachwamba: 39
