×

Kura Za Maoni-Bunda Mjini: Maboto Aongoza, Wasira Ashika Nafasi ya Pili

Robert Maboto ameibuka kidedea kwa kupata kura 140 huku Mzee Stephen Wassira akiwa nafasi ya pili kwa kura 115. Namba 3 ni Zuru Nanji mwenye kura 63

Mtoto wa Wassira amelazimika kusaini matokeo baada ya babake kuondoka eneo la mkutano kabla ya matokeo kutangazwa

Leave a Comment