
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo Sengerema katika Bunge lililopita, William Ngeleja ameshika nafasi ya pili akiwa na kura 120 katika kura za maoni za CCM kwenye Jimbo hilo.
Hamis Tabasamu amefanikiwa kuongoza kwa kupata kura 335. Waliojitokeza kupiga kura ni 929 na kura zilizoharibika ni 5
Nafasi ya tatu imeenda kwa Hatari Tano mwenye kura 105 huku mtu wa nne akiwa ni Joshua Shimiyu aliyefanikiwa kupata kura 78