×

Lowasa Aongoza Kura za Maoni Jimbo la Monduli

Fredy Lowasa ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowasa, Julai 21, 2020 ameibuka mshindi wa kura za maoni jimbo la Monduli Mkoani Arusha kuputia CCM baada ya kupata kura 244. Mbunge aliyemaliza muda wake Julius Kalanga amepata kura 162, na Wilson Lengima amepata kura 149.

Leave a Comment