Rais Dkt.John Pombe Magufuli ameshiriki katika Ibada ya MisaTakatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020.. ⚫️
Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx




