Global Publishers September 11, 2020 4,590 views 0 Comments
SHARE THIS:
Jaji Mstaafu Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Septemba 11, 2020, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Ddar es Salaam.