×

DC Vincent wa Musoma Azindua Duka la Vodacom Akiimarisha Mawasiliano

Mkuu wa wilaya ya Musoma (DC) , Dk. Vincent Anney Naano (wapili kushoto) akikata utepe kuzindua duka jipya la kisasa la Vodacom lililopo Musoma mjini. Wengine kutoka kushoto ni Msimamizi wa Duka hilo, Cosmas Mseti, Kaimu Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda ya Ziwa, Ahmed Akbarali , Meneja Mauzo Mwandamizi Vodacom Kanda ya Ziwa, Viktoria Chale.

Mambo ya shampeni wakati wa hafla hiyo.

DC Vincent Anney Naano  (kushoto) akipata maelezo ya bidhaa mbalimbali zilizopo duka hilo jipya wilayani humo toka kwa Kaimu Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda ya Ziwa, Ahmed Akbarali, mara baada ya uzinduzi wa duka hilo.

 

Leave a Comment