MWILI wa Hayati Magufuli, umewasili nyumbani kwake wilayani Chato mkoani Geita, ambapo unatarajiwa kuagwa na maelfu ya wananchi wa wilaya hiyo na mikoa ya jirani mapema Machi 25, 2021.