×

Mwl. Kashasha: Simba Hawana Kikosi Kipana, Wangepigwa Tano – Video

Mchambuzi hodari wa soka, Mwalimu Kashasha, amechambua mchezo wa ligi kuu Bara kati ya Tanzania Prison vs Simba, uliochezwa Sumbawanga, na kumalizika kwa mnyama kutandikwa bao (1-0).

 

Leave a Comment