
BABA mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, marehemu Urban Ndunguru, anatarajiwa kuzikwa leo Jumanne, Desemba 22, 2020, Kijijini Tanga, Mbinga mkoani Ruvuma.

Hii ni baada ya ibada iliyofanyika nyumbani kwake ambapo atazikwa katika makaburi ya familia. #RIPUrbanNduguru.
