
MWILI wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza, umewasili jijini Dar es Salaam leo Desemba 28, 2020 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kupelekwa nyumbani kwake Kibamba Luguruni, ambapo utaagwa kesho Jumanne katika Ukumbi wa Karimjee na mazishi yatafanyika Desemba 30, 2020, kijijini kwao Suji wilayani Same mkoani Kilimanjaro.
View this post on Instagram