BAADA ya kuwepo kwa maneno mengi juu ya ukweli wa Baba wa msanii Diamond Platnumz, Global TV Online imezungumza na wahariri wa Magazeti Pendwa (UDAKU) ya Global Publishers ambao ndio walioibua habari hii mnamo mwaka 2012 kupitia Gazeti la Ijumaa.