
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa kiwanda cha ushonaji wa sare za jeshi la polisi, Dar, kinachogharimu zaidi ya TZS milioni 600. Kiwanda hicho kinatarajiwa kuanza kazi Machi 2021.

Pia amezindua majengo ya ofisi, madarasa na mabweni ya Chuo cha Taaluma ya Polisi.
