×

Uongozi wa NMB Washiriki Ibada ya Mazishi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli-Chato

Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna (wapili kushoto) na baadhi ya viongozi wa Benki hiyo wakishiriki ibada ya kumpumzisha aliyekuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli Wilayani Chato.

Akiwakilisha Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Benki ya NMB, Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna na baadhi ya viongozi wa Benki hiyo ni miongoni mwa waombolezaji walioungana na familia, ndugu, jamaa na watanzania wote katika mazishi ya Buriani Hayati Dkt. John Pombe Magufuli mjini Chato leo Machi 26, 2021.

Leave a Comment