×

Rais Samia Awaapisha Watendaji wa Taasisi – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Nenelwa Joyce Mwihambi kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais Samia akimuapisha Balozi Joseph Edward Sokoine kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Rais Samia akimuapisha CP Salum Rashid Hamduni kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa PCCB.
Rais Samia akimuapisha Sylvester Antony Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka DPP.
Rais Samia akimuapisha Joseph Sebastian Pande kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashitaka.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anawaapisha wakuu wa taasisi leo Mei 19, 2021 kuanzia saa 4:00 asubuhi Ikulu jijini Dar es Salaam.

Leave a Comment