×

Rais Samia Akutana na Mwana wa Kifalme Ikulu Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Hassan akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwanawakifalme, Faisal Bin Farhan Al Saud mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Mei, 2021.

Rais Samia Suluhu Hassan leo Mei 25, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwana wa Kifalme, Faisal Bin Farhan Al Saud Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwanawakifalme, Faisal Bin Farhan Al Saud mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Samia akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwanawakifalme, Faisal Bin Farhan Al Saud mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Mei, 2021.
Rais Samia akiagana na mgeni wake.

Leave a Comment