Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameteuwa Makatibu Tawala wa Mikoa na wakuu wa taasisi kama ifuatavyo.
William Erio ameondolewa NSSF, atakuwa Mtendaji Mkuu wa Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC).
Balozi Batilda Buriani amekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga. Aliwahi kuwa Balozi Japan na Kenya.
Walioteuliwa wote tazama hapa…
