×

Shigongo: Nataka Wizi na Upotevu wa Mapato Uishe- Video

 

MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo, amezungumza na watumishi wa serikali na kuonya juu ya upotevu wa mapato na kusema kua yupo tayari kukosana na yeyote ambaye ataiba mapato ya jimbo hilo.

Leave a Comment