×

Global Habari Juni 18 – Rais Samia Atangaza Siku 7 za Maombolezo..

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Juni 18, 2021 ametangaza siku 7 za maombolezo Kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda, kilichotokea jana Juni 17, 2021,.

Leave a Comment