×

Mwijaku Awasha Moto – “Harmonize Ni Msanii Mkubwa”-Video

Mwanamuziki Harmonize, usiku wa kuamkia Juni 18, 2021 amefanya ‘Party’ ambapo mastaa mbalimbali wamehudhuruia akiwemo DC wa Insta, Mwijaku, ambaye kama kawaida yake amemmwagia sifa konde boy.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment