×

Kiapo Cha Nikki Wa Pili Mbele ya Rc Kunenge-Video

MSANII wa Bongo Fleva Nickson Simon maarufu Nikki wa Pili ambaye ameteuliwa na Rais Samia Suluhu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe ameapa leo Juni 21, mbele ya mkuu wa mkoa wa Pwani Aboubakari Kunenge.

 

Leave a Comment