×

Mauaji! Apasuliwa Kichwa Na Kuchomwa Visu-Video

Global Tv imefunga safari mpaka mkoani Kilimanjaro na kufanya mahojiano ya kina na familia iliyokumbwa na mkasa huu mzito na Mama mzazi wa marehemu alidai kuwa Marehemu alipokea vitisho vya kuuawa baadaye akatekwa na kuuawa kisa alianza ujenzi na kuziba njia ya kupita kwa jirani, Mkewe naye adai kupokea vitisho aiomba serikali wapewe barua ya kuwalinda wamechoka kuishi kama ndege..

Leave a Comment