Spika Job Ndugai amesema, mjadala wa Bajeti ya Serikali ya 2021/22 ya Sh.36.3 trilioni unahitimishwa leo Jumanne kwa wabunge kupiga kura ya kwazi kuikubali au kuikataa na “kwa mbunge ambaye hayupo hapa na hatapiga kura yake, hilo ni la kwake mwenyewe.”