Rais Samia Akutana na Katibu Mtendaji wa wa AfCTA – Video
Global Publishers June 30, 2021 5,328 views 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya na Wamkele Mene amabye ni Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AFCTA) Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 30,2021.