Global Publishers July 9, 2021 4,550 views 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), Bi. Joyce Msuya na ujumbe wake Ikulu Jijini Dodoma leo.