×

TACAIDS Wafanya Semina Kwa Waandishi wa Habari

Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS)wamefanya semina kubwa na waandishi wa habari wa nyombo vya habari nchini,kuhusiana na kuripoti habari unyanyapa ambao unaendelea kwenye jamii yetu kuhusiana na watu wanaoishi na virusi ya H.I.V.

Semina hiyo ambayo iliyoratibiwa na tume ya uwezezaji ya Un Women chini ya mfuko wa Global Fund,ilifanyika katika chuo cha unesi,kilichopo katika hospital ya Bagamoyo,Mkoani Pwani,ambapo waandishi hao walipata mafunzo hayo ambayo itakuwa ni chachu kwenye kuripori habari za unyanyapa unaofanyika kwenye jamii.

Leave a Comment