Msanii mkongwe, Haruna Kahema ‘Inspector Haroun’, mkali wa michano ambaye aliwahi kutamba na ngoma nyingi zikiwemo Pamba Nyepesi, Bye Bye na Hapa Kazi Tu! amefunguka bifu lake na mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva, Juma Nature.