

Mmoja kati ya wateja waliofika katika banda lililowekwa kwa ajili ya kuwaelekeza wenye mabaa namna ya kujisajili katika mpango wa kuyasaidia mabaa kunyanyuka unaojulikana kama Raise the Bar au Tunyanyuke Pamoja akipata maelekezo kutoka kwa wawakilishi wa Kampuni ya Bia ya SerengetiKampuni ya Bia ya Serengeti wameendelea na kampeni yao ya kusajili Bar Mbalimbali baada ya kuathiriwa na ugonjwa wa Corona unaojulikana kama Raise the Bar.