Dereva Anayetrendi kwa Ujumbe wa ‘Nawamwaga Kitonga’ Afunguka –
Global Publishers July 20, 2021 4,686 views 0 Comments
SHARE THIS:
GLOBAL TV Online imepiga stori na dereva aliyetrend na anaendelea kushika soko la mitandao ya kijamii na kueleza undani wa picha hiyo na nani aliyepiga picha hiyo.