×

Usipitiwe na Udahili wa Vyuo Vikuu Nje ya Nchi Mwaka 2021

Global Education link Inakuletea On Spot Admission Event 2021 yaani Udahili wa papo kwa papo katika Vyuo Vikuu Nje ya Nchi Mwaka 2021, kuanzia ngazi ya diploma mpaka PhD.

Tukio hili litafanyika pande 4 tofauti za Tanzania likianzia Dar es salaam, Zanzibar, Arusha na kuhitimishwa jijini Mwanza.

Unachohitaji ni kuwa na Matokeo yako na utapata Udahili wa papo kwa papo na scholarship hadi asilimia 50%.

Pia Mkopo wa Elimu ya juu nje ya nchi usio na Riba wa hadi 70% ya gharama za masomo utatolewa.

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0656 200 200

Usikose fursa hii!

Leave a Comment