×

Breaking News: Ofisi za Kituo cha Tanesco Moro Zateketea – Video


Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Ofisi za Kituo kikubwa cha kupokea na kusambaza umeme katika wilaya za mkoa wa Morogoro na mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Kilimanjaro zimeteketea kwa moto Msamvu, Morogoro muda huu.

Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika, endelea kufuatilia mitandao yetu kwa taarifa zaidi.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

Leave a Comment