MWANACHAMA maarufu wa Yanga Mzee Mzee Haji Omar Mpili leo Agosti 15, 2021 ametua Uwanja wa Mkapa kujionea
kilele cha Wiki ya Mwananchi ambayo timu yake wanaitumia kutambulisha wachezaji wapya na wale wa zamani watakaowatumia katika msimu mpya.
Timu hiyo imekuwa na kawaida hiyo kuwapa fursa mashabiki kukiona kikosi kupitia mchezo wa kirafiki kabla ya kwenda kwenye ligi au mashindano.